Search This Blog

Tuesday, August 22, 2023

KAULI MBIU YA MASHIRIKA YASIOKUA YAKISERIKALI KWA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI





Uku yakisalia majuma mawili pekee Ili kufanyika kwa kongamano la Afrika kuhusu mabadiliko ya tabia nchi litakalo andaliwa jijini Nairobi na kuleta pamoja viongozi wa nchi za Afrika wakiongozwa na Rais wa Kenya William Ruto,wito umetolewa na mashirika yasiokua ya kiserikali kwa viongozi watakaohudhuria kuhakikisha kwamba matakwa ya wote walioadhirika kutokana na majanga ya mabadiliko ya tabia nchia yameangaziwa.



Akihutubu katika kikao kilichoandaliwa katika mkahawa mmoja jijini Nairobi,Afisa mkuu mtendaji wa muungano wa Afrika wa haki na mabidiliko ya tabia nchi PACJA ambae ni daktari Mithika Mwenda ameelezea wasiwasi wao kama mashirika wakisema kwamba Kuna uwezekano mkubwa kongamano ilo ya Afrika kukosa kuafikia malengo yake endapo maswala muhimu ya haki za kibinadamu na masoko ya kabon hayataanaziwa kikamilifu,ivyo basi kutoa wito kwa Rais Ruto na umoja wa Afrika (AU) kusimama kidete na kuangazia maswala hayo na dhiki ya walioadhirika ikiwa ni pamoja na kutoa kauli Moja kama nchi za Afrika kusurutisha nchi zilizostawi kuhusika katika nchia za kupambana na madiliko ya tabia nchi ikiwa na pamoja na kutoa ufadhili ili kupunguza matukio ya nchi izo yanayopelekea majanga kutokea katika nchi za Afrika.



Haya yanajiri uku mashirika hayo yakihimiza nchi za Afrika kuzungumza kwa sauti Moja na kutoa mwafaka ifikiapo kongamano la cop 28 na kupelekea kubuniwa kwa Sheria za kuzuia na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

NAIROBI CITY MARATHON AN ATTRACTION TO CITY EXPRESS WAY NOW A POPULAR RACE

The third edition of Nairobi city Marathon took place today in a race that seeks to explore the express way in the city a race t...