Search This Blog

Thursday, August 24, 2023

KONGAMANO LA RASLI MALI LAFANYIKA NAIROBI

Kongamano la Saba la kimataifa la kuangazia maswala ya rasli Mali limeanza rasmi hii Leo katika makao makuu ya ukanda wa maswala ya rasli Mali almaarufu RCMRD jijini Nairobi.

Akiongea katika kikao na wanahabari kiongozi wa maswala ya ardhi afriGEO Phoebe oduor amesema kwamba kongamano iko LA siku tatu linatarajiwa kuangazia matumizi ya mbinu za sayansi na Sheria, matumizi ya deta na kujumuisha habari na jumbe kwa minajali ya kuangazia maswala ya rasli Mali ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uma na wakulima pamoja na idara husika.


Aidha kongamano ilo linajumuisha takriban nchi ishirini na tano kutoka barani Afrika.

NAIROBI CITY MARATHON AN ATTRACTION TO CITY EXPRESS WAY NOW A POPULAR RACE

The third edition of Nairobi city Marathon took place today in a race that seeks to explore the express way in the city a race t...